Kristoforo Kolumbus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
 
Mara nyingi aliitwa [[Mzungu]] wa kwanza wa kufika Amerika, lakini baadaye imejulikana ya kwamba [[Waviking]] walitangulia kufika [[Amerika ya Kaskazini]] mnamo [[mwaka]] [[1000]]. Ila jitihada zake zilianzisha njia ya [[mawasiliano]] ya kudumu kati ya Amerika na [[mabara]] mengine tofauti na safari zote zilizovuka [[bahari]] kabla yake.
 
Upande wa [[dini]], alikuwa [[Mkristo]] wa [[Kanisa Katoliki]], tena mwanachama wa [[Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko]].
 
== Mipango ya Kolumbus ==