Sikio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 13:
== Kazi nyingine za masikio ==
Pamoja na kupokea sauti, sikio la ndani lina pia kazi ya kutunza uwiano wa mwili likiweza kutofautisha kati ya juu, chini, kulia na kushoto.
[[File:Modified Ear.jpg|thumb|Uchomekaji wa hereni na mapambo mbalimbali kwenye sikio]]
 
Wanyama mbalimbali hutumia masikio pia kwa kupoza mwili. Hivyo [[tembo]] anatumia masikio yake kama [[feni]].