Msitu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
[[Picha:Orman.JPG|right|thumb|220px|Msitu.]]
[[File:Stara planina suma.jpg|thumb|Msitu wa [[Stara Planina]], [[Serbia]].]]
'''Msitu''' ni mkusanyiko wa [[uoto asilia]] unaojumuisha [[miti]] mingi ya aina mbalimbali (kwa mfano: [[mipingo]], [[mikoko]] n.k.) [[mimea]] na [[nyasi]] ambazo huweza kuwa fupi au ndefu.
Misitu inaweza kuwa za aina mbili:
* ya asili au
▲Misitu inaweza kuwa ya asili au ya kupandwa na binadamu (isiyo ya asili).
Misitu ya asili ni misitu ambayo huota yenyewe bila kupandwa na mwanadamu. Kwa mfano, msitu wa [[Hifadhi ya taifa ya Udzungwa|Udzungwa]] ([[Mkoa wa Morogoro]], [[Tanzania]]).
Line 50 ⟶ 46:
*uhalibifu wa makazi ya wanyama.
Hivyo ni bora kutunza misitu kwa ajili ya manufaa yetu sisi na vizazi vijavyo. Ni muhimu
{{mbegu-biolojia}}
|