Michezo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
picha
No edit summary
Mstari 10:
Tangu kale watu wamekutana kwa mashindano makubwa ya michezo kati ya jamii, ma[[kabila]] au ma[[taifa]]. Kati ya mashindano mashuhuri hasa ni [[Michezo ya Olimpiki]] iliyofanyika awali [[Ugiriki wa Kale]] na sasa inafanyika kwa ushiriki wa mataifa yote duniani kila baada ya miaka minne.
 
Kwa nchi ya [[Tanzania]] michezo inayopendwa sana ni mpira wa miguu,riadha ,mpira wa pete,mpira wa wavu; pia kuna hamasa kubwa kwa watu kusoma ma[[gazeti]] kuhusu michezo ili kupata dondoo na habari muhimu kuhusu michezo mbalimbali inayoendelea huko viwanjani..
 
{{michezo}}