Michezo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
<big>Maandishi makubwa</big>[[Picha:Wilson Kipsang 2012 London Marathon.jpg|thumb|200px|Mashindano ya mbio ya masafa marefu sana, maarufu kama Marathon.]]
'''Michezo''' ni [[amali]] au ma[[zoezi]] ya ki[[mwili]] ambayo mara nyingi yana [[ushindani]] ndani yake. Yanatendeka kufuatana na kawaida na taratibu maalumu zilizokubaliwa kati ya wachezaji au katika [[jamii]].
 
Mstari 10:
Tangu kale watu wamekutana kwa mashindano makubwa ya michezo kati ya jamii, ma[[kabila]] au ma[[taifa]]. Kati ya mashindano mashuhuri hasa ni [[Michezo ya Olimpiki]] iliyofanyika awali [[Ugiriki wa Kale]] na sasa inafanyika kwa ushiriki wa mataifa yote duniani kila baada ya miaka minne.
 
Kwa nchi ya [[Tanzania]] michezo inayopendwa sana ni: [[mpira wa miguu]],riadha [[riadha]], [[mpira wa pete]], [[mpira wa wavu]]; pia kuna hamasa kubwa kwa watu kusoma ma[[gazeti]] kuhusu michezo ili kupata dondoo na habari muhimu kuhusu michezo mbalimbali inayoendelea huko viwanjani..
 
{{michezo}}
{{mbegu-utamaduni}}
 
[[Jamii:Michezo|*]]
[[Jamii:Utamaduni]]