Tofauti kati ya marekesbisho "Wanyama wa nyumbani"

119 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
[[File:Zubron2.jpg|thumb|[[ Ng'ombe aina ya Żubroń]], [[European bison|ng'ombe]] na mseto wa mifugo]]
'''Wanyama wa nyumbani''' au '''wanyama-kaya''' au '''mifugo''' (kutoka [[kitenzi]] "kufuga") ni wale [[wanyama]] ambao huishi katika [[mazingira]] ambayo [[mwanadamu]] anaishi. Wanyama hao wanapatana na wanadamu, nao ni kama vile [[kuku]], [[mbwa]], [[mbuzi]], [[kware]], [[ng'ombe]] na wengine wengi.
 
Tangu [[milenia]] kadhaa wanyama hao wamepatana na wanadamu, nao ni kama vile [[mbwa]], [[mbuzi]], [[nguruwe]], [[kondoo]], [[ng'ombe]], [[paka]], [[kuku]], [[punda]], [[bata]], [[nyuki]], [[ngamia]], [[farasi]], [[njiwa]], [[kware]] na wengine wengi.
Wanyama hawa wana [[faida]] katika maisha ya wanadamu; kwa mfano ng'ombe hupatia watu [[maziwa]], [[nyama]], pia [[ngozi]] yake inaweza kutumika kutengeneea vitu mbalimbali.
 
Wanyama hawahao wana [[faida]] katika maisha ya wanadamu; kwa mfano ng'ombe hupatia watu [[maziwa]], [[nyama]], pia [[ngozi]] yake inaweza kutumika kutengeneea vitu mbalimbali.
 
Mbwa husaidia hasa katika suala la [[ulinzi]] katika mazingira yanayomzunguka mwanadamu.
 
Mbuzi huwapatia watu nyama, maziwa ila si mazuri kama yale ya ng'ombe na pia ngozi yake hutumika kutengenezea vitu kama vile [[ngoma]], hasa katika [[jamii]] za [[Afrika|Kiafrika]].
 
Kware ni [[Ndege (mnyama)|ndege]] mdogo; [[mayai]] yake ni madogo sana yana faida kubwa katika [[mwili]] wa mwanadamu kwa sababu yanasemekena kutibu baadhi ya [[magonjwa]] katika miili yetu.