Stempu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Sehemu muhimu za stempu:
1. [[Picha
2. Matundu
3. Thamani
4. Jina la nchi ]] '''Stempu''' ya...'

No edit summary

Mstari 1:
[[File:Penny black.jpg|thumb|right|[[Penny Black]], stempu ya kwanza [[duniani]].]]
[[File:Nicaragua1 1913.jpg|thumb|Sehemu muhimu za stempu:

1. [[Picha]]

Line 6 ⟶ 7:

'''Stempu''' (kutoka [[neno]] la [[Kiingereza]] "stamp", yaani "kilichochapwa") ya [[posta]] ni kijipande cha [[karatasi]] ambacho kinauzwa ili kubandikwa juu ya [[barua]] au [[kifurushi]] kama thibitisho la [[malipo]] ya [[gharama]] ya [[usafirishaji]] wake.

Pengine [[uzuri]] wake unafanya watu wazikusanye badala ya kuzituma au baada ya kutumiwa.

Stempu ya kwanza ilitolewa [[Uingereza]] tarehe [[1 Mei]] [[1840]]. Kutoka huko stempu zimeenea duniani kote.

{{mbegu}}