Rukwa (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1143935 (translate me)
No edit summary
Mstari 12:
}}
 
'''Ziwa Rukwa''' ni [[ziwa]] kubwa la [[Ziwa la Magadi|magadi]] nchini [[Tanzania]]. Liko upande wa [[kusini]] [[magharibi]] yawa nchi karibu na [[Zambia]] kati ya [[Ziwa Tanganyika]] na [[Ziwa Nyasa]]<ref>[http://concise.britannica.com/ebc/article-9377298/Lake-Rukwa Britannica.com: Lake Rukwa]</ref>..
 
UenezajiEneo wala ziwa hubadilika mara kwa mara kufuatana na idadiwingi yawa [[mvua]] inayonyesha katika beseni yake.
 
==Jiografia==
Ziwa liko kwakwenye [[kimo]] cha [[mita]] 800 juu ya [[UB]] katika [[bonde]] ambalo ni mkono wa [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]]. Bonde hili ni sehemu ya kusini ya mkono wa magharibi wa bonde hili na mikono yote miwili inaungana huko Mbeya kabla ya kuendelea kwa pamoja katika Ziwa Nyasa.
 
Beseni ya ziwa line eneo la takriban 80,000 [[km²]]. Urefu na upana wake hubadilikabadilika kulingana na kiasi cha mvua inayonyesha. Kati ya mito inayoingia ni mto wa [[songwe (mto)|Songwe]] pekee ulio na maji muda wote. Kuna taarifa ya kwamba ziwa lilipotea wakati mwingine isipokuwa beseni ndogo upande wa kusini Songwe inapoingia hubaki na maji. Kama maji ni mengi ziwa lina urefu wa kilomita 180.
 
<ref>[http://concise.britannica.com/ebc/article-9377298/Lake-Rukwa Britannica.com: Lake Rukwa]</ref>.
 
==Mazingira==
Eneo la ziwa ni kavu sana na maji yake ni ya magadi. Kwa hiyo hakuna vijiji mbali na mito hasa upande wa kusini. Majirani ni hasa [[Wafipa]] na [[Wasafwa]].
 
==Tanbihi==
 
<references/>
 
==Viungo vya Njenje==
*[http://www.aquanet.de/beitraege/Topthema.20040729144051648.asp Bericht eines Reisenden]
 
 
[[Category:Maziwa ya Tanzania]]