Mshipa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d kuongeza maneno na kuweka picha
Mstari 1:
[[Picha:Blood2014ab vesselsCoronary ofBlood the face, circa 1900 (5551619720)Vessels.jpg|alt=thumb|Mishipa ya damu|thumb|367x367px|Mishipa yakatika damu.moyo]]
'''Mshipa''' ni [[mrija]] mdogo wenye kupitisha [[damu]] au [[mawasiliano]] katika [[mwili]] wa [[kiumbehai]] k.v. [[mnyama]] au [[binadamu]].
 
==Mishipa ya damu==
Mishipa ya [[damu]] ni kama vile [[aorta]], [[ateri]], [[vena]], [[venacava]].
Kwa jinsi ilivyotajwa kwa kujipanga ndivyo hivyohivyo jinsi ukubwa wa mishipa hiyo ilivyo.
Pia kuna mishipa inayopeleka [[damu chafu]] katika moyo na kuna mishipa inayopeleka [[damu safi]]
kwenda sehemu zote za mwili.
 
[[Moyo]] pamoja na mishipa ya damu mwenye mwili huitwa [[mfumo wa mzunguko wa damu]]. Damu husukumwa kwa mapigo ya moyo na hupeleka [[oksijeni]] kwenye [[tishu]].
 
Kuna [[maili]] 100,000 za mishipa ya damu ndani ya mwili wa mtu mzima.
 
{{mbegu-anatomia}}
 
[[Jamii:Damu]]
[[Jamii:Neva]]