Wazazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Wazazi''' ni wale waliofanya [[watoto]] wapatikane katika aina zao. Kwa [[wanadamu]], mzazi ndiye [[mlezi]] wa [[mtoto]]. Inafaa sana [[uzazi]] uendelezwe na [[malezi]] hadi kumfanya mtoto akomae pande zote na kuwa [[mtu mzima]], tena bora.
 
Mzazi wa ki[[biolojia]] ni mtu ambaye [[gamete]] yake imetoa mtoto, mzazi wa kiume kupitia [[manii]], na [[mwanamke]] kupitia [[ovumkijiyai]]. Wazazi hao, [[baba]] na [[mama]], ni jamaa ya kwanza na kuchangia [[asilimia]] 50 ya [[maumbile]] ya mtoto.
 
[[Mwanamke]], mbali ya kujifungua, anaweza kuwa mzazi kwa njia ya [[upasuaji]] pia, hasa pale ambapo [[ujauzito]] una matatizo .
Mstari 12:
 
[[Jamii:Biolojia]]
[[Jamii:Familia]]
[[Jamii:Elimu jamii]]
[[Jamii:Malezi]]