Topazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'topazi ni mtu anayezibua vyoo vichafu.'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[image:Topaze, quartz fumé 1.jpg|thumb|270px|Topazi.]]
topazi ni mtu anayezibua vyoo vichafu.
'''Topazi''' ni [[madini]] ambayo [[Kemia|kikemia]] [[fomula]] yake ni [[aluminium|Al]]<sub>2</sub>[[silicon|Si]][[oxygen|O]]<sub>4</sub>([[fluorine|F]],[[hydroxide|OH]])<sub>2</sub>.
 
Ni kati ya madini magumu zaidi (8/10). Kutokana na [[ugumu]] na [[uangavu]] wake, pamoja na [[rangi]] zake mbalimbali, imetumika sana kama [[Kito (madini)|kito]].
 
Inatajwa na [[Biblia]] pia.
 
{{mbegu-kemia}}
 
[[Jamii:Madini]]