Waha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Waha''' ni watu wa [[kabila]] la [[watu]] wa [[Tanzania]] wanaoishi katika [[Mkoa wa Kigoma]], pia mpakani kwa [[Burundi]].
 
[[Lugha]] yao ni [[Kiha]]
Mstari 23:
[[Utamaduni]] wao, yaani ma[[vazi]] yao ilikuwa ni magome ya [[miti]] yaliyojulikana kama mpuzu, na [[nyumba]] zao ni za [[msonge]], [[udongo]] na miti, kulingana na sehemu mbalimbali, maana kuna sehemu zenye [[joto]] kama vile [[bonde]]<nowiki/>ni, na sehemu zenye [[baridi]] kama vile [[nyanda za juu]].
 
{{Makabila ya Tanzania}}
{{DEFAULTSORT:Ha}}
[[Category:Makabila ya Tanzania]]
[[Jamii:Mkoa wa Kigoma]]