Waluo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Migrating 3 langlinks, now provided by Wikidata on d:q37044
No edit summary
Mstari 1:
'''Waluo''' (pia Wajaluo) ni [[kabila]] hasa la [[Sudan Kusini]]. Wako pia [[Kenya]], [[Uganda]] ya msahriki na nchini[[mashariki]] mwa [[Tanzania]] katika [[Mikoa]] ya [[Mkoa wa Mara|Mara]] na [[Mkoa wa Mwanza|Mwanza]]. [[Lugha]] yao ni [[Kiluo]]. Wenyewe hujiita Jaluo na lugha yao Dhulou.na mengi kuhusu waluo.tembelea websitehii;www.jaluo.com
utacheka mpaka ujambe puuu.ongito nyamwanda 0784334032 en an jakiseru jakanyango
 
Waluo ni mkusanyiko wa kabila la kinilotikiKiniloti ambalo lilisafiri kutoka [[Afrika ya Kaskazini]] kufuata mto [[Nile]] kuja [[Kusini]]. Waluo wengi wameenea kandokando ya [[Ziwa Viktoria]] kutokana na [[utamaduni]] wao wa [[uvuvi]]. Kwa Afrika mashariki utawakuta nchini Sudan, Kenya, Uganda na Tanzania.
 
==WaJaluoWajaluo mashuhuri==
*[[Philemon Sarungi]] - Mtaalam wa udaktari na kiongozi nchini Tanzania
*[[Gidi Gidi Maji Maji]] - Wasanii wa muziki aina ya hip hop
Line 11 ⟶ 10:
*[[Jaramogi Oginga Odinga]] - mwongozi wa Wajaluo kutoka wakati wa kupigania uhuru, mwanzilishaji wa vyama vya [[KANU]], [[KPU]], [[FORD-Kenya]] na makamu wa rais wa kwanza
*[[Raila Amolo Odinga]] - mwana wa Jaramogi na mwanasiasa muhimu wa kitaifa
*[[Robert Ouko]] - hayati waziri wa mambo ya kigeni aliyeuawa 1990.(Hayati Daniel owino missiani mwanamuziki mtanzania aliyewahi kuwania tuzo la muziki aina ya rhumba huko nchini kenya alifariki mwaka 2006 nakuzikwa huko shirati rorya.wajaluo wengine maarufu ni Riaga ogalo.ni mwenyekiti wa wajaluo afrika mashariki,baadhi ya wazee maarufu wilayani rorya ni kama,mtemi odemba kagose wa buturi.mtemi ochuodho awino wa kamageta. pia mzee mirimbo oreck ragare huyu ndiye mzee wa kwanza kamageta kununua baiskeli, alikufa mwaka 1999 huko kamageta ktk kijiji cha osiri.daniel opanga oole wa kamageta(babake balozi joshua watson opanga) alifariki mwaka 1992 ndiye mwanzilishi wa kanisa la menonite huko kamageta kata ya roche rorya,wengine ni timothy apiyo waziri mkuu mstaafu wa watanzania.en an emma macojijo mirimbo jakamageta.0759512418).
 
==Viungo vya nje==
* [www.jaluo.com]
 
{{Makabila ya Tanzania}}
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
{{DEFAULTSORT:Luo}}
[[Jamii:Makabila ya Kenya]]
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
[[hi:लुओ भाषा]]
[[lij:Lengua Luo]]
[[pt:Língua luo]]
[[ru:Долуо (язык)]]