Ncha ya kijiografia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Earth's_Axis_(small).gif|350px|thumbnail|Dunia inazunguka kwenye mhimili wake unaoonyeshwa na mstari mweupe. Ncha iko mahali ambako mstari huo unapita uso wa dunia. Picha hii inatazama dunia upande, hivyo ni ncha ya kaskazini pekee inayoonekana.]]
'''Ncha ya kijiografia''' ni moja kati ya mahali pawili ambapo [[mhimili]] wa [[mzunguko]] wa [[dunia]] unakutana na uso wa dunia. Kwa maana hiyohiyo ncha zinapatikana pia kwenye [[sayari]], [[mwezi]] au [[gimba la angani]] kubwa lingine linalozunguka kwenye mhimili wake.
 
Ncha mbili kwa kawaida hutofautishwa kwa kuziita "[[ncha ya kaskazini]]" na "[[ncha ya kusini]]" jinsi ilivyo kwenye dunia yetu. Kila ncha iko [[nyuzi]] 90 kutoka mstari wa [[ikweta]].