Salibu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Salibu Crux.png|thumb|300px|right|Salibu (en:Crux)]]
 
'''Salibu''' ''([[:en:Crux]], au Southern Cross)'' ni [[kundinyota]] mashuhuri kwenye [[nusutufe ya kusini]] ya Dunia. Salibu iko kati ya kundinyota zinazotambuliwa kirahisi. Ni kundinyota ndogo lakini nyota zake kuu zina [[uangavu]] mzuri wa 2.8 [[mag]] au zaidi.
 
==Mahali pake==
Salibu iko katika sehemu angavu ya [[njia nyeupe]] karibu na [[Kantarusi (kundinyota)]] ([[:en:Centaurus|Centaurus]]) inayopakana nayo kwa pande tatu.
 
==Jina==
Jina "Salibu" latokana na Kiarabu <big>صليب</big> ''(salib)'' ambalo ni tafsiri ya kilatini Crux inayomaanisha "[[msalaba]]". Jina lilibuniwa na mabaharia kutoka Ulaya walipoanza kuzunguka kwenye nusutufe ya kusini ya Dunia baada ya safari ya [[Magellan]] wakafurahi kuona ishara ya dini yao angani.
 
Nyota zake zilionekana tayari kwa [[Klaudio Ptolemaio]] miaka 2,000 iliyopita akazihesabu kuwa sehemu ya Kantarusi (Centaurus). Kutokana na [[badiliko la mwelekeo wa mhimili wa Dunia]] nyota zake hazionekani tena katika nusutufe ya kaskazini. [[Johann Bayer]] alipotunga orodha yake ya nyota bado alizieleza kama sehemu za Kantarusi alipomrejelea Ptolemaio. Lakini jina la Crux lilianza kuenea baadaye na kubaki.<ref>Linganisha Allen, Names of Stars, uk. 185 ff</ref>.
 
 
==Marejeo==