Forbes : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Naked Pictures of Bea Arthur 0078.jpg|thumb|upright|Makao makuu ya zamani ya Forbes [[Fifth Avenue|5th Avenue]] huko Manhattan (kwa sasa linamilikiwa na chuo kikuu cha New york)]]
'''Forbes''' ni gazeti la kibiashara la [[Marekani]] amabalo huchapishwa mara mbili kwa wiki huku likiangazia masuala ya kifedha, [[viwanda]], uwekezaji, na masuala ya masoko. ''Forbes'' pia humulika mambo yanayoendana na hayo yakiwamo masuala ya teknolojia, mawasiliano, [[sayansi]], [[siasa]] na sheria.Makao yake makuu yapo katika jiji la [[Jersey City, New Jersey|Jersey City]], [[New Jersey]]. Washindani wao katika biashara ya magazeti kitaifa ni pamoja na ''[[Fortune (magazine)|Fortune]]'' na ''[[Bloomberg Businessweek]]''. Gazeti hili hujulikana sana kwa kutoa takwimu, orodha na madaraja ya vitu/mambo mbalimbali kama vile takwimu ya Orodha ya watu matajiri zaidi nchini Marekani (the [[Forbes 400]]) na madaraja ya makampuni makubwa zaidi duniani (the [[Forbes Global 2000]]).Orodha nyingine maarufu iliyowahi kufanywa na Forbes ni orodha ya mabilionea wakubwa zaidi duniani [[The World's Billionaires]]<ref>https://en.wikipedia.org/wiki/The_World%27s_Billionaires</ref>.Kaulimbiu ya gazeti la ''Forbes'' ni ("''The Capitalist Tool''") na mwenyekitimhariri mkuu ([[chief editor|editor-in-chief]] ) wake ni [[Steve Forbes]], na [[mkurugenzi]] wake ni (Chief executive officer|CEO]]) wake ni [[Mike Perlis]].Ilitangazwa mnamo Julai 18, 2014 kwamba wanahisa wakubwa wa gazeti hilo ni kutoka Hong Kong.<ref>https://www.recode.net/2014/7/18/11628980/forbes-sells-to-hong-kong-investment-group</ref><ref>https://www.forbes.com/sites/forbespr/2014/07/18/forbes-media-agrees-to-sell-majority-stake-to-a-group-of-international-investors-to-accelerate-the-companys-global-growth/#707367ce6ce9</ref>