Salibu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Salibu Crux.png|thumb|300px|right|Salibu (en:Crux)]]
 
'''Salibu''' ''([[:en:Crux]], au Southern Cross)'') <ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Crux" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Crucis" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Crucis, nk.</ref> ni [[kundinyota]] mashuhuri kwenye [[nusutufe ya kusini]] ya Dunia. Salibu iko kati ya kundinyota zinazotambuliwa kirahisi<ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>. Ni kundinyota ndogo lakini nyota zake kuu zina [[uangavu]] mzuri wa 2.8 [[mag]] au zaidi.
 
==Mahali pake==
Mstari 16:
Gacrux inaonekana kwa darubini ndogo kuwa nyota pacha lakini hali halisi nyota zake mbili zina umbali wa miaka ya nuru 160 kati yao kwa hiyo zinaonekana tu kama nyota pacha. Nyota kubwa inayoonekana kwa macho ni [[jitu jekundu]] chenye umbali wa miaka ya nuru 88 kutoka Dunia.
 
==MarejeoTanbihi==
{{reflist}}
 
==Marejeo==
* Richard Hinckley Allen: Star-Names and their Meanings; kwa G. E. Stechert New York, Leipzig, London, Paris 1899, ukurasa 252 ([https://ia801402.us.archive.org/14/items/starnamesandthe00allegoog/starnamesandthe00allegoog.pdf online kwenye archive.org])
* Jan Knappert, 1993: The Swahili Names of Stars, Planets and Constellations; The Indian Ocean Review September 1993 Volume 6 No. 3 September 1993, kurasa 6-7, ISSN 1031-2331
 
[[Category:Kundinyota|Salibu (Crux)]]