Mmea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Replacing GntTaatiFruit.jpg with File:Chestnut_in_Guntur.jpg (by CommonsDelinker because: File renamed: File renaming criterion #2: To change from a meaningless or ambiguous name to a nam
No edit summary
Mstari 2:
'''Mimea''' ni moja ya kundi la [[viumbe hai]] duniani ikijumuisha [[miti]], [[maua]], [[mitishamba]],n.k. Kuna zaidi ya aina 300,000 ya mimea.
 
Sayansi inayochunguza mimea huitwa [[botania]] ambayo ni kitengo cha [[biolojia]]. Kwenye [[uainishaji wa kisayansi]] mimea hujumlishwa katika [[himaya ya planta]] kwenye milki ya [[Eukaryota]] (viumbehai vyenye [[kiini cha seli]] na [[utando wa seli]].).
 
Kwa hiyo mimea huwa na utando wa seli mwenye [[selulosi]]. Mmea unapata sehemu kubwa ya nishati kutoka kwa nuru ya jua kwa njia ya [[usanisinuru]] yaani hujilisha kwa msaada wa nuru. Ndani ya majani ya mimea kuna [[klorofili]], dutu kijani, inayofanya kazi ya kupokea nuru na kupitisha nishati yake kwa sehemu nyingine ya mmea ambako inatumiwa kujenga molekuli zinazotunza nishati kwa njia ya kikemia na kutumiwa katika [[metaboli]] ya mwili.