Mmea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Diversity of plants image version 5.png|thumb|Mimea]]
'''Mimea''' ni [[moja]] kati ya kundimakundi laya [[viumbe hai]] [[duniani]] ikijumuisha [[miti]], [[maua]], [[mitishamba]], n.k. Kuna zaidi ya aina 300,000 ya mimea.
 
[[Sayansi]] inayochunguza mimea huitwa [[botania]] ambayo ni kitengo cha [[biolojia]]. Kwenye [[uainishaji wa kisayansi]] mimea hujumlishwa katika [[himaya ya plantaplantae]] kwenye milki ya [[Eukaryota]] (viumbehai vyenye [[kiini cha seli]] na [[utando wa seli]].).
 
Kwa hiyo mimea huwa na utando wa seli mwenye [[selulosi]]. Mmea unapata sehemu kubwa ya [[nishati]] kutoka kwa [[nuru]] ya [[jua]] kwa njia ya [[usanisinuru]] yaani hujilisha kwa msaada wa nuru. Ndani ya [[majani]] ya mimea kuna [[klorofili]], dutu kijani, inayofanya kazi ya kupokea nuru na kupitisha nishati yake kwa sehemu nyingine ya mmea ambako inatumiwa kujenga [[molekuli]] zinazotunza nishati kwa njia ya [[Kemia|kikemia]] na kutumiwa katika [[metaboli]] ya [[mwili]].
 
Mimea kadhaa imepoteza uwezo wa kutengeneza klorofili ya kutosha, hivyo inajipatia nishati yao kama [[vimelea]] kutoka kwa mimea au viumbehai vingine.
 
Mimea mingi inazaa kakwa njia ya kijinsia[[jinsia]], yaani kwa kuunganisha [[seli]] za kiume na kike; mara nyingi viungo vya kiume na vya kike vinapatikana ndani ya mmea mmoja. Kuna pia mimea inayozaa kwa njia isiyo ya kijinsia, kwa mfano kwa kuotesha [[mzizi]] wa [[hewa|hewani]] ambao unaingia ardhini na kuendelea kama mmea wa pekee.
 
Mimea ni msingi muhimu kwa viumbehai wengine duniani kwa sababu sehemu kubwa ya [[oksijeni]] katika [[angahewa]] ya dunia inatengenezwa na mimea.<ref name=behrenfeld>{{cite journal | last=Field | first=C.B. |author2=Behrenfeld, M.J. |author3=Randerson, J.T. |author4=Falkowski, P. | year=1998 | title=Primary production of the biosphere: Integrating terrestrial and oceanic components | journal=[[Science (journal)|Science]] | volume=281 | pages=237–240 | doi=10.1126/science.281.5374.237 | pmid=9657713 | issue=5374 |bibcode = 1998Sci...281..237F }}</ref>. Mimea inatoa chakula cha kibinadamu kama vile [[nafaka]], [[matunda]] na [[mboga majani]], pia lishe kwa wanyama wa kufugwa.
 
Mimea inatoa [[chakula]] kwa [[binadamu]] kama vile [[nafaka]], [[matunda]] na [[mboga za majani]], pia [[lishe]] kwa [[wanyama]] [[Wanyama wa nyumbani|wa kufugwa]].
== Album ==
 
== AlbumPicha ==
<center><gallery widths="180px" heights="120px" perrow="3">
File:Borassus flabellifer.jpg|Mvumo wa Asia [[Borassus flabellifer]]