Milango ya fahamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Olhos de um gato-2.jpg|thumbnail|Macho, pua na nywele ndefu za "ndevu" ni milango muhimu kwa huyu paka.]]
'''Milango ya fahamu''' ni [[ogani]] za [[mwili]] zinazoturuhusu kujua [[mazingira]] yetu. Mifano yake ni [[macho]] na [[masikio]]. Ni njia asili ya kutambua mtazamo au [[hisia]].
 
[[Biolojia|Kibiolojia]] inaelezwa kuwa ogani yenye uwezo wa kupokea [[habari]] za nje ya mwili, kama vile [[nuru]], [[sauti]], [[halijoto]], [[mwendo]], [[harufu]] au [[ladha]], na kuzibadilisha katika mishtuko ya [[umeme]] inayofikishwa kwa njia ya mfumo wa [[neva]] hadi [[ubongo]].
 
Kama milango ya fahamu imeharibika, tunasema [[mtu]] ni [[kipofu]], [[bubu]] au [[kiziwi]], ana matatizo kuelewa mazingira yake sawa na jinsi wanavyoweza watu wengine.
 
Milango ya fahamu ni muhimu sana kwa [[Viumbe hai]] kutokana na kwamba inasadia kiumbe hai katika shughuli zake za kila siku, hasa katika kufatuta [[mahitaji muhimu]] (kwa [[Kiingereza]] yanaitwa [http://en,wikipedia/wiki/basic%20needs Basic needs]).
 
==Fahamu zetu==
[[Picha:Makart Fuenf Sinne.jpg|thumbnail|300px|"Fahamu tano za binadamu" kadiri ya [[mchoraji]] [[Austria|Mwaustria]] [[Hans Makart]] ([[1840]]-[[1884]]).]]
Mara nyingi watu hutaja fahamu [[tano]] ambazo ni(<ref>https://en.wikipedia.org/wiki/Five_senses_(disambiguation)</ref>
<ref>https://en.wiktionary.org/wiki/five_senses</ref>) ambazo ni:
 
# Kusikia ni fahamu ya [[sauti]] kupitia [[masikio]]