Antena : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb||Antena '''Antena''' au ''erio'' katika mambo ya redio na elektroniki ni nyaya za kupokelea ...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:136_to_174_MHz_base_station_antennas.jpg|thumb||Antena mbalimbali.]]
'''Antena''' au ''erio'' katika mambo ya [[redio]] na [[elektroniki]] ni [[waya|nyaya]] za kupokelea [[mawimbi]] ya [[sauti]]. Antena kwa maneno mengine ni kifaa cha kitumiacho [[umeme]] kubadili nguvu ya umeme kuwa mawimbi ya [[sauti]] na kinyume chake.
 
Mara nyingi Antenaantena hutumiwa pamoja na [[transmita]] (kifaa cha kurushia mawimbi) ya redio) au [[risiva]] (kifaa cha kupokelea mawimbi) ya redio). Katika urushaji wa mawimbi, transmita ya redio huipa antennaantena nguvu ya kiumeme ([[mkondo wa umeme]]) katika '''ncha''' zake na hivyo antennaantena hutoa aina fulani ya [[Mwali|miali]] kutegemeana na mkondo wa umeme yenye tabia za ki-umeme na ki-sumaku ([[electromagnetic radiation|, electromagnetic wave]]s waves).Kwa upande wa risiva , antenna hupokea mawimbi yaliyotumwa na transmita na kuyabadilisha kuwa mkondo wa umeme kwenye ncha zake na kupelekwa kwenye [[amplifaya]].
'''Antena''' au ''erio'' katika mambo ya [[redio]] na [[elektroniki]] ni nyaya za kupokelea [[mawimbi]] ya [[sauti]]. Antena kwa maneno mengine ni kifaa cha kitumiacho [[umeme]] kubadili nguvu ya umeme kuwa mawimbi ya [[sauti]] na kinyume chake.
Mara nyingi Antena hutumiwa pamoja na [[transmita]](kifaa cha kurushia mawimbi) ya redio au [[risiva]](kifaa cha kupokelea mawimbi) ya redio. Katika urushaji wa mawimbi, transmita ya redio huipa antenna nguvu ya kiumeme (mkondo wa umeme) katika '''ncha''' zake na hivyo antenna hutoa aina fulani ya miali kutegemeana na mkondo wa umeme yenye tabia za ki-umeme na ki-sumaku ([[electromagnetic radiation|electromagnetic wave]]s ).Kwa upande wa risiva , antenna hupokea mawimbi yaliyotumwa na transmita na kuyabadilisha kuwa mkondo wa umeme kwenye ncha zake na kupelekwa kwenye [[amplifaya]].
Antena ni vifaa vya muhimu sana kwa kifaa vyote vitumiavyo mawimbi ya redio .Hutumika katika mifumo mbalimbali kama vile [[mitambo]] ya kurushia matangazo ya redio, matangazo ya televisheni, [[risiva]] za mawasiliano, [[rada]], [[simu]] za mkononi, na [[satalaiti]] na vitu vingine kama vile vifaa vya kufungulia milango ya [[karakana]](''gereji''), mitandao ya [[kompyuta]] isiyotumia nyaya nakadhalika.<ref>For example http://www.telegraph.co.uk/science/science-news/7810454/British-scientists-launch-major-radio-telescope.html; http://www.ic.gc.ca/eic/site/smt-gst.nsf/eng/sf09377.html; {{cite web|url=http://www.ska.ac.za/media/meerkat_cad.php |title=Archived copy |accessdate=2013-10-19 |deadurl=yes |archiveurl=https://web.archive.org/web/20131020095753/http://www.ska.ac.za/media/meerkat_cad.php |archivedate=2013-10-20 |df= }}</ref><ref>https://books.google.co.tz/books?id=uah1PkxWeKYC&pg=PA29&redir_esc=y</ref>
<ref> Marconi, "Wireless Telegraphic Communication: Nobel Lecture, 11 December 1909." Nobel Lectures. Physics 1901–1921. Amsterdam: Elsevier Publishing Company, 1967: 196–222. p. 206.</ref>
 
Kwa upande wa risiva, antena hupokea mawimbi yaliyotumwa na transmita na kuyabadilisha kuwa mkondo wa umeme kwenye ncha zake na kupelekwa kwenye [[amplifaya]].
 
Antena ni vifaa vya muhimu sana kwa kifaavifaa vyote vitumiavyo mawimbi ya redio . Hutumika katika mifumo mbalimbali kama vile [[mitambo]] ya kurushia matangazo ya redio, matangazo ya televisheni, [[risivatelevisheni]], risiva za [[mawasiliano]], [[rada]], [[simu]] za [[Mkono|mkononi]], na [[satalaitisatelaiti]] na vitu vingine kama vile vifaa vya kufungulia milango ya [[karakana]] (''[[gereji]]''), mitandao ya [[kompyuta]] isiyotumia nyaya nakadhalikana kadhalika.<ref>For example http://www.telegraph.co.uk/science/science-news/7810454/British-scientists-launch-major-radio-telescope.html; http://www.ic.gc.ca/eic/site/smt-gst.nsf/eng/sf09377.html; {{cite web|url=http://www.ska.ac.za/media/meerkat_cad.php |title=Archived copy |accessdate=2013-10-19 |deadurl=yes |archiveurl=https://web.archive.org/web/20131020095753/http://www.ska.ac.za/media/meerkat_cad.php |archivedate=2013-10-20 |df= }}</ref><ref>https://books.google.co.tz/books?id=uah1PkxWeKYC&pg=PA29&redir_esc=y</ref>
<ref> Marconi, "Wireless Telegraphic Communication: Nobel Lecture, 11 December 1909." Nobel Lectures. Physics 1901–1921. Amsterdam: Elsevier Publishing Company, 1967: 196–222. p. 206.</ref>
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:elektronikiElektroniki]]
[[Jamii:antena za redioRedio]]
[[Jamii:vifaa vya electronikiTeknolojia]]