Nyuki : Tofauti kati ya masahihisho

1,130 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
dNo edit summary
*[[Xylocopinae]]
}}
'''Nyuki''' ni [[mdudu|wadudu]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Apidae]] wenye mabawa manne angavu na mwiba kwenye nyuma ya mwili wao. Hukusanya [[mbelewele]] na [[mbochi]] ya [[maua]] kama chakula chao. [[Spishi]] inayojulikana hasa ni [[nyuki-asali]] (''[[Apis mellifera]]'') ambaye hufugwa kila mahali duniani. Kuna spishi zaidi ya 20,000 zinazojumlishwa na biolojia kati ya nyuki lakini ni wale wa jenasi ''[[Apis]]'' wanaotengeneza [[asali]] inayovunwa kwa matumizi ya binadamu.
 
[[Picha:HoneyBeeAnatomy.svg|thumb|200px|left|Mwili wa nyuki]]
== Umbo la nyuki ==
Mwili una pande tatu jinsi ilvyoilivyo kwa wadudu wote: [[kichwa]] mbele, [[kidari]] katikati na [[tumbo]] nyuma, halafu jozi tatu za miguu na jozi mbili za mabawa.
 
Mwili huwa na nywele na ina rangi kali za njano- na nyeusi kama onyo kwa maadui.
 
Nyuma ya tumbo wanabeba mwiba wanaotumia kudunga wakijisikiaendapo wakihisi kuna hatari au wameshambuliwa. Wakidunga mwiba huwa wanaingiza pia kiasi kidogo cha sumu katika kidonda. Sumu hii inasababisha maumivu na watu wengine wanaathiriwa vikali na sumu hii lakini si kila mtu. Kuna nyuki wanaokufa baada ya kudunga mwiba kwa sababu mwiba unabaki kwenye kidonda lakini wengine wanaweza kutoa mwiba na kudunga tena.
 
== Wadudu wa kijamii ==
Spishi kadhaa za nyuki ni [[mdudu wa kijamii|wadudu wa kijamii]] maana yake wanaishi katikakwa kundimakundi si peke yao kama aina nyingine za nyuki. Wanajenga [[sega]] ya [[nta]] ndani ya [[mzinga wa nyuki]] na humu wanatunza asali yao.
 
Kuna aina tatu za nyuki ndani ya kundi hili nao ni:
* Malkia wa nyuki ni mama wa nyuki wote ndani ya kundi na kazi yake ni kutaga mayai pekee
* Nyuki wafanyakazi ni wakazi wengi wa mzinga na wote ni wa kike. Ni hao wanaofanya kazi yote kama vile kukusanya mbelewele na mbochi, kusafisha mzinga, kutengeneza nta, kujenga sega, kuwalisha malkia na majana, kulinda mzinga
* Nyuki dume ni wachache na kazi yao ya pekee ni kumpanda malkia ambaye si yule wa mzinga wake kwa kawaida; baadaye wanafukuzwa kwenye mzinga na hawapewi chakula tena.
* '''Ni jinsi gani nyuki wanaweza kutambuana katika kundi?''' Kawaida nyuki huwa wanaishi kifamilia, familia moja haiwezi kwenda kwenye familia nyingine. Kwanini hawawezi? Hawawezi kwasababu nyuki hutambuana kwa kutumia harufu itokanayo na malkia. Kila malkia huwa na harufu yake, kwahivyo kundi moja haliwezi kwenda kwenye kundi jingine kwasababu hayafanani harufu. Ikitokea nyuki mmoja amepotea na akaingia kwenye kundi jingine, walenyuki vibarua watakacho kifanya ni kumuangalia kuwa kaja na nini. Kama amebeba chakula, watamuacha aweke chakula kisha wataamua kumuua au wamuache aondoke. Mara nyingi huwa wanamuua tu!
*Nyuki wanapeperusha mabawa yao ili kutoa maji kwenye nekta na kusambaza harufu za mawasiliano. Huyu nyuki mtenda kazi anatoa harufu kutoka kwa mfuko wake wa ndani ili kuvutia wenzake kuungana naye. Hawa nyuki watendakazi wanakula kwa pamoja na kushirikishana harufu spesheli kutoka kwa malkia
 
{{commonscat|Bee|Nyuki}}Nyuki hawa watenda kazi huwa wanaleta gundi la mti (propolis) ndani ya mzinga. Ni ute unaonata unaopatikana kutoka kwa miti na hutumika kuziba nyufa na kuweka mzinga kuwa safi.{{mbegu-mdudu}}
{{commonscat|Bee|Nyuki}}
 
{{mbegu-mdudu}}
<!-- interwiki -->
 
9

edits