Ateri : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Circulatory System en edited.svg|alt=ateri kuu za mwili|thumb|318x318px|Ateri kuu za
[[Picha:Blausen 0055 ArteryWallStructure.png|thumb|Ufafanuzi wa arteri.]]
'''Ateri''' (pia '''arteri''', kutoka [[neno]] la [[Kigiriki]] ''ἀρτηρία'',
Ateri zina safu [[tatu]]. Safu ya nje ni nene na inaundwa na [[tishu]]. Safu ya kati inaundwa na [[misuli]], kwa hiyo ateri inaweza [[kupanuka]] au [[kusinyaa]], wakati safu ya ndani inaundwa na [[seli]] ambazo zipo pia kwenye [[moyo]].
Mshipa wa arteri hauwezi kuuona kwa [[macho]] tu, ila unaweza kuuona kwa kutumia kifaa kiitwacho [[hadubini]].
==Ateri muhimu==
Kuna aina mbili za arteri:
[[Aorta]] ni ateri kuu kwenye [[mwili]]: inaanza kwenye [[ventriko ya kushoto]] ya moyo ambayo ina damu iliyobeba oksijeni kutoka kwenye [[mapafu]].▼
* [[Aorta|Arteri kuu (aorta)]]
* [[Arteri mapafu]]
=== Arteri kuu (aorta) ===
[[Picha:Heart, aorta and pulmonary artery.jpg|thumb|Mshipa wa aorta unavyoonekana kwenye moyo]]
▲[[Aorta]] (au ''aota'') ni ateri kuu kwenye [[mwili]]: inaanza kwenye [[ventriko ya kushoto]] ya moyo ambayo ina damu iliyobeba oksijeni kutoka kwenye [[mapafu]].
Aorta ni mshipa mkubwa kuliko mishipa yote katika mwili wa [[binadamu]].Mshipa huu hushukua damu yenye oksijeni kwenye moyo kwenda sehemu zote za mwili.
Mshipa huu hugawanyika katika mishipa midogomidogo iitwayo [[kapilari|mishipa ya kapilari]].
=== Arteri mapafu ===
[[Picha:Pulmonary Artery Catheter.png|thumb|Mshipa wa arteri ya mapafu.]]
[[Arteri mapafu]] ni aina ya arteri inayosafirisha damu isiyo na oksijeni kutoka kwenye moyo kwenda kwenye [[mapafu]].
[[Ateri ya mapafu]] ni ateri pekee
* isiyoungana na aorta
* inayobeba damu isiyo na oksijeni.
{{mbegu-anatomia}}
[[Jamii:Damu]]
[[Jamii:Anatomia]]
|