Kuku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 56:
 
== Ufugaji wa kuku ==
{{main|Ufugaji wa kuku}}
Kuku ni mnyama mwenye faida kubwa sana kwa mwanadamu na viumbe vinginevyo: kuku hutaga mayai ambayo hutumika kama chakula kwa wanadamu na viumbe vingine. Watu wengine hukosa faida za wanyama hao kwa sababu hawajui njia sahihi za ufugaji wa kuku.