Madhabahu (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|400px|Nyota za kundinyota Madhabahu (Ara) katika sehemu yao ya angani '''Madhabahu''' (kwa Kilatini na Kii...'
 
Mstari 6:
==Jina==
Madhabahu ni kati ya kundinyota zilizotajwa tayari na [[Klaudio Ptolemaio]] katika karne ya 2 BK. Iko pia kati ya kundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> Jina latokana katika mitholojia ya [[Ugiriki ya Kale]] ambako [[Zeus]] alitoa kiapo cha kupambana na majitu wa [[Titani]] mbele ya madhabahu au altare ya kuchomea sadaka.<ref>Allen, Star names and their meanings, uk. 62</ref>
 
 
==Nyota==