Msitu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
* ya kupandwa na binadamu (isiyo ya asili).
 
Misitu ya asili ni misitu ambayo huota yenyewe bila kupandwa na mwanadamu. Kwa mfano, msitu wa [[Hifadhi ya taifa ya Udzungwa|Udzungwa]] ([[Mkoa wa Morogoro]], [[Tanzania]]).na nikivutio kikubwa cha [[Utalii|watali]] hapa [[tanzania]] hivyo kupitia msitu huu nchi inajipatia [[fedha]] za [[kigeni]]
 
Misitu isiyo ya asili ni misitu ambayo hupandwa na [[mwanadamu]]. Ndiyo tofauti kati ya misitu ya asili na isiyo ya asili.
 
==Umuhimu wa misitu==
Mara nyingi [[wanyama]] mbalimbali, wakubwa kwa wadogo, huishi na hutegemea uoto huo kwa kuwatimizia mahitaji yao kwa [[malazi]] na [[chakula]].
 
Hata hivyo maisha ya [[binadamu]] hutegemea [[mazingira]] yake yanayomzunguka katika kujikimu kwani kupitia misitu [[mvua]] hunyesha na hivyo kusababisha ustawi na ongezeko la [[chakula]].na kuepusha baa la njaa
 
Ni kwamba [[asilimia]] kubwa ya watu hutegemea [[kilimo]] ili kujipatia mahitaji yao ya kila siku, hasa katika nchi za [[Afrika]] ambazo ziko nyuma sana katika nyanja za utumiaji wa [[teknolojia]] za kisasa kama utumiaji wa [[zana za kilimo]], k.mf. [[matrekta]].plau,mashine za kuvunia mazao.
 
Hivyo katika kutimiza upatikanaji wa chakula kwa wingi ni lazima misitu ilindwe kwa nguvu zote katika ukuaji na ustawi wa [[jamii]].la sivyo maisha ya [[viumbe]] vyote yakuwa hatarini
 
==Majukumu kuhusu misitu==