Msitu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
* ya kupandwa na binadamu (isiyo ya asili).
 
Misitu ya asili ni misitu ambayo huota yenyewe bila kupandwa na mwanadamu. Kwa mfano, msitu wa [[Hifadhi ya taifa ya Udzungwa|Udzungwa]] ([[Mkoa wa Morogoro]], [[Tanzania]]).na nikivutioni kivutio kikubwa cha [[Utalii|watali]] hapa [[tanzaniawatalii]], hivyo kupitia msitu huu nchi inajipatia [[fedha]] za [[kigeni]].
 
Misitu isiyo ya asili ni misitu ambayo hupandwa na [[mwanadamu]] kwa malengo mbalimbali.

Ndiyo tofauti kati ya misitu ya asili na isiyo ya asili.
 
==Umuhimu wa misitu==
Line 18 ⟶ 20:
Ni kwamba [[asilimia]] kubwa ya watu hutegemea [[kilimo]] ili kujipatia mahitaji yao ya kila siku, hasa katika nchi za [[Afrika]] ambazo ziko nyuma sana katika nyanja za utumiaji wa [[teknolojia]] za kisasa kama utumiaji wa [[zana za kilimo]], k.mf. [[matrekta]].plau,mashine za kuvunia mazao.
 
Hivyo katika kutimiza upatikanaji wa chakula kwa wingi ni lazima misitu ilindwe kwa nguvu zote katika ukuaji na ustawi wa [[jamii]]., la sivyo maisha ya [[viumbe]] vyote yakuwayatakuwa hatarini.
 
==Majukumu kuhusu misitu==
Tunatakiwa tutunze misitu kwa ajili ya manufaa yetu wenyewe na vizazi vingine kwa sababu misitu inatusaidia kwa utalii na tunaweza kupata mvua kwa wingi.
 
Njia za kufuata katika utunzaji wa misituː
Line 46 ⟶ 48:
*uhalibifu wa makazi ya wanyama.
 
Hivyo ni bora kutunza misitu kwa ajili ya manufaa yetu sisi na vizazi vijavyo. Ni muhimu kushauri watu watunze sana vyanzo vya asili kama misitu: hii ni kwa faida yetu wenyewe, inatusaidia hata kupata mvua kwa wingi.
 
{{mbegu-biolojia}}