Figo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Kidney section.jpg|thumb|right|Figo katika ''Gray's Anatomy''.]]
'''Figo''' ni [[kiungo]] cha [[mwili]] ambacho kazi yake ni cha kutatanisha: mafigo yanafanya kazi mbalimbali muhimu katika mwili wa [[binadamu]]. Ila kazi yake kuu ni kusawazisha [[maji]] ndani ya mwili kwa kuchuja na kusitiri bidhaa za chembechembe (kama vile [[urea]]) na [[minerali]] katika [[damu]] na kuchuja hizo, pamoja na maji na [[mkojo]].
 
'''Figo''' ni [[kiungo]] cha [[mwili]] ambacho kazi yake ni cha kutatanisha:, mafigofigo yanafanyahufanya kazi mbalimbali muhimu katika mwili wa [[binadamu]]. Ila kazi yake kuu ni kusawazisha [[maji]] ndani ya mwili kwa kuchuja na kusitiri bidhaa za chembechembe (kama vile [[urea]]) na [[minerali]] katika [[damu]] na kuchuja hizo, pamoja na maji na [[mkojo]].
Kwa maana mafigo yameumbwa kuhisi ukolezi wa [[plazma]] ya ioni kama vile [[sodiamu]], [[potasiamu]], [[hidrojeni]], [[oksijeni]] ([[hewa]]) na msombo kama vile [[asidi amino]], kreatini, bikaboneti na [[glukosi]], mafigo yanasawazisha [[shinikizo la damu]], hali ya ujenzi wa glukosi katika chembechembe, na erithropoesisi (yaani maendeleo ya kazi ya kutengeneza [[selidamu nyekundu]]).
 
Kwa maana mafigofigo yameumbwazimeumbwa kuhisi ukolezi wa [[plazma]] ya ioni kama vile [[sodiamu]], [[potasiamu]], [[hidrojeni]], [[oksijeni]] ([[hewa]]) na msombo kama vile [[asidi amino]], kreatini, [bikaboneti] na [[glukosi]], mafigofigo yanasawazishahusawazisha [[shinikizo la damu]], hali ya ujenzi wa [glukosi] katika chembechembe, na [erithropoesisi] (yaani maendeleo ya kazi ya kutengeneza [[selidamu] nyekundu]]).
[[Sayansi]] ichunguzayo mafigo na [[maradhi ya figo]] inaitwa [[nefrolojia]]. Kiambishi awali, "nefro-" imaanishayo figo imetoka kwa [[lugha]] ya [[Kigiriki cha kale]], "nefros (νεφρός)", kitambulishi "-a figo", maana yake kuchujia kumetoka kwa [[Kilatini]] ''rēnēs'' kumaanisha mafigo.
 
[[Sayansi]] ichunguzayo mafigofigo na [[maradhi ya figo]] inaitwa [[nefrolojia]]. Kiambishi awali, "[nefro-]" imaanishayo figo imetoka kwa [[lugha]] ya [[Kigiriki cha kale]], "[nefros] ([νεφρός)]", kitambulishi "[-a figo]", maana yake kuchujia kumetoka kwa [[Kilatini]] ''[rēnēs]'' kumaanisha mafigo.
== Muundo wa mafigo ya binadamu ==
Mafigo yapo nyuma ya [[utambi]] na [[kipimo]] chake ni [[sentimeta]] 9 mpaka 13 kwa [[kipenyo]], [[kipimo]] cha figo la kushoto ni kikubwa zaidi kidogo kuliko cha la kulia. Yapo kwenye ukolezi wa mwiba T12 na L3. Upande wa sehemu za juu ya figo zimehifadhiwa na [[ubavu]] wa kumi na moja na wa kumi na mbili, katika kila figo pamoja na [[tezi ya adrenali]] zimefunikwa na [[ngozi]] mbili zenye [[mafuta]] na renal fascia inayosaidia kuimarisha figo.
 
Mafigo yapo nyuma ya [[ utambi]] na [[kipimo]] chake ni [[sentimeta]] [9 mpaka 13] kwa [[kipenyo]], [[kipimo]] cha figo laya kushoto ni kikubwa zaidi kidogo kuliko cha la kulia. Yapo kwenye ukolezi wa mwiba [T12 na L3]. Upande wa sehemu za juu ya figo zimehifadhiwa na [[ubavu]] wa kumi na moja na wa kumi na mbili, katika kila figo pamoja na [[tezi ya adrenali]] zimefunikwa na [[ngozi]] mbili zenye [[mafuta]] na [renal fascia] inayosaidia kuimarisha figo.
Watu wachache wamezaliwa na figo moja tu, hawa hujulikana kama unilateral agenesis (kwa [[Kiingereza]]), pia kuna watu wachache waliozaliwa bila figo lolote, hali hiyo inajulikana kama bilateral agenesis.
 
Watu wachache wamezaliwa na figo moja tu, hawa hujulikana kama [unilateral agenesis] (kwa [[Kiingereza]]), pia kuna watu wachache waliozaliwa bila figo loloteyoyote, hali hiyo inajulikana kama [bilateral agenesis].
Mafigo yanapata [[damu chafu]] kwenye [[mkole wa tumbo]] ambayo imegawika katika matawi mawili, [[ateri]] moja kwa upande wa kulia na nyingine kwa upande wa kushoto. Kisha [[damu]] ambayo imeshakwisha kuchujika inarudia tena kwenye [[vena]] ya [[damu safi]], inayoelekea kwa [[vena kava]] ya chini ya kuendelea mpaka [[moyo]]ni. Damu safi inakadiri [[asilimia]] 20-25 za uzalishaji wa moyo (cardiac out put).
 
Mafigofigo yanapatahupata [[damu chafu]] kwenye [[mkole wa tumbo]] ambayo imegawika katika matawi [mawili], [[ateri]] moja kwa upande wa [kulia ]na nyingine kwa upande wa [kushoto]. Kisha [[damu]] ambayo imeshakwisha kuchujika inarudia tena kwenye [[vena]] ya [[damu safi]], inayoelekea kwa [[vena kava]] ya chini ya kuendelea mpaka [[moyo]]ni. Damu safi inakadirini kadiri [[asilimia]] 20-25] za uzalishaji wa moyo (cardiac out put).
{{mbegu-anatomia}}
 
[[Jamii:Viungo vya mwili]]
[[Jamii:Afya]]