Methali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Methali''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]] '''<big>مثل</big>''' ''mathal'') ni [[usemi]] mfupi wa mapokeo wenye mpangilio maalumu wa maneno unaodokeza kwa [[muhtasari]] fikra au mafunzo mazito yatokanayo na uzoefu wa maisha ya [[jamii]] husika. Ni kauli fupi yenye pande mbili za fikra, kwaambazo upande wa kwanza huanza upande wa pili humaliza. Kwa mfano: Mficha [[ugonjwa]], [[kifo]] humuumbua na mcheza kwao hutunzwa. Haraka haraka haina baraka. mkono mtupu haulambwi. Mkamia maji hayanywi.
 
Kila [[taifa]] na kila [[kabila]] lina methali zake.
Mstari 38:
|}
 
==Viungo vya Njenje (Methali za Kiswahili)==
*http://www.mwambao.com/methali.htm
*http://kiswahili.de/modules.php?name=SwahiliProverbs
*http://mwanasimba.free.fr/E_methali_01.htm
*http://www.angelfire.com/yt/chibilamsane/methali.html
 
{{MBEGU-LUGHA}}
 
[[Category:Fasihi]]