Figo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuweka picha
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Illu kidney2.jpg|thumb|Figo ya binadamu.]]
[['''Figo]]''' ni [[kiungo]] cha [[mwili]] ambacho ni cha kutatanisha,: figo hufanya kazi mbalimbali muhimu katika mwili wa [[binadamu]] na wanyama wengi. Ila kazi yake kuu ni kusawazisha [[maji]] ndani ya mwili kwa kuchuja na kusitiri bidhaa za [[chembechembe]] kama vile [[urea]] na [[minerali]] katika [[damu]] na kuchuja hizo, pamoja na maji na [[mkojo]].
 
Kwa maana figo zimeumbwa kuhisi ukolezi wa [[plazma]] ya [[ioni]] kama vile [[sodiamu]], [[potasiamu]], [[hidrojeni]], [[oksijeni]], [[hewa]] na msombo kama vile [[asidi amino]], [[kreatini]], [[bikaboneti]] na [[glukosi]], figo husawazisha [[shinikizo la damu]], hali ya ujenzi wa [glukosi] katika chembechembe, na [[erithropoesisi]] yaani maendeleo ya kazi ya kutengeneza [[Seli nyekundu za damu|selidamu] nyekundu]]).
 
[[Sayansi]] ichunguzayo figo na [[maradhi ya figo]] inaitwa [[nefrolojia]]. [[Kiambishi awali,]] "[nefro]" imaanishayokimaanishacho figo imetokakimetoka kwa [[lugha]] ya [[Kigiriki cha kale]], "[nefros] [νεφρός]", kitambulishi "[-a figo]", maana yake kuchujia kumetoka kwa [Kilatini] ''[rēnēs]''.
 
utambiUtambi na kipimo chake ni [[sentimeta]] [9 mpaka 13] kwa [[kipenyo]], kipimo cha figo yala kushoto ni kikubwa zaidi kidogo kuliko cha la kulia. Yapo kwenye ukolezi wa mwiba [T12 na L3]. Upande wa sehemu za juu ya figo zimehifadhiwa na [ubavu] wa kumi na moja na wa kumi na mbili, katika kila figo pamoja na [tezi ya adrenali] zimefunikwa na [ngozi] mbili zenye [mafuta] na [renal fascia] inayosaidia kuimarisha figo.
 
Upande wa sehemu za juu ya figo zimehifadhiwa na [[ubavu]] wa [[kumi na moja]] na wa [[kumi na mbili]], katika kila figo pamoja na [[tezi ya adrenali]] zimefunikwa na [[ngozi]] [[mbili]] zenye [[mafuta]] na [[renal fascia]] inayosaidia kuimarisha figo.
Watu wachache wamezaliwa na figo moja tu, hawa hujulikana kama [unilateral agenesis] kwa [Kiingereza], pia kuna watu wachache waliozaliwa bila figo yoyote, hali hiyo inajulikana kama [bilateral agenesis].
 
Watu wachache wamezaliwa na figo moja tu, hawahali hiyo hujulikana kama ["unilateral agenesis]" kwa [[Kiingereza]], pia kuna watu wachache waliozaliwa bila figo yoyotelolote, hali hiyo inajulikana kama ["bilateral agenesis]".
figo hupata [damu chafu] kwenye [mkole wa tumbo] ambayo imegawika katika matawi [mawili], [ateri] moja kwa upande wa [kulia]na nyingine kwa upande wa [kushoto]. Kisha damu ambayo imeshakwisha kuchujika inarudia tena kwenye [vena] ya damu safi, inayoelekea kwa [vena kava] ya chini ya kuendelea mpaka [moyo]. Damu safi ni kadiri [asilimia 20-25] za uzalishaji wa moyo.
 
figoFigo hupata [[damu chafu]] kwenye [[mkole wa tumbo]] ambayo imegawika katika matawi [mawili], [[ateri]] moja kwa upande wa [kulia] na nyingine kwa upande wa [kushoto]. Kisha damu ambayo imeshakwisha kuchujika inarudia tena kwenye [[vena]] ya [[damu safisaf]]i, inayoelekea kwa [[vena kava]] ya chini ya kuendelea mpaka [[moyo]]. Damu safi ni kadirikama [[asilimia]] 20-25] za uzalishaji wa moyo.
 
{{mbegu-anatomia}}
 
[[Jamii:Viungo vya mwili]]