Kupika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|upright=1.0|mtu akiwa anapika katika mgahawa huko morocco '''Kupika''' ni mchakato wa kupika chakula ili kiliwe . Mahali a...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Agdz-rosino-05.jpg|thumb|upright=1.0|mtuMtu akiwa anapika katika [[mgahawa]] huko morocco[[Moroko]].]]
'''Kupika''' ni mchakato wa kupikakuandaa [[chakula]] ili kiliwe . Mahali ambapo [[watu]] wanafanya hivyo ni [[jikoni]].

[[Joto]] linaweza kufanywa kwa [[moto]] kwa kutumia [[kuni]], [[mkaa]], au kwa [[jiko]] la kutumia [[umeme]].

[[Tanuri]] ni sehemu ya jiko ambalo ni kama [[sanduku]]. Watu hujenga sehemu hizo kwa kutumia [[matofali]] au [[udongo]].

Kuna njia mbalimbali za kupika chakula. Tunachemsha chakula kwa kupika ndani ya [[maji]]., [[kukaanga]] chakula kwa kupikia [[siagi]] kali na [[mafuta]]., [[kuchoma]] [[nyama]] kwa kuiweka [[juu]] ya moto.
 
{{mbegu-utamaduni}}
 
[[Jamii:Chakula]]