Tofauti kati ya marekesbisho "Mwangaza unaoonekana"

1 byte removed ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
* '''Uang‘avu unaoonekana''' ni kipimo cha ukali wa nuru wa gimba la angani jinsi unavyoonekana kwa mtazamaji kwenye dunia yetu. Unatajwa kwa namba na kizio chake ni magnitudo, kifupi mag. Kadri uang‘avu ni juu namba yake ni ndogo. <ref>Robert Bruce Thompson; Barbara Fritchman Thompson, ''Astronomy Hacks'' (Sebastopol, CA: O'Reilly, 2005), p. 88</ref> Kitu ang‘avu zaidi angani ni jua letu kenye uang‘avu unaonekana wa -−26,73 mag. Nyota ya Rijili Kantori ( [[:en:Alpha Centauri]]) inaonekana ang‘avu kushinda nyota kubwa zaidi ya Jibuta la Jauza kwa sababu iko karibu zaidi na dunia.
 
* '''Uang‘avu' halisi''' ni kipimo cha ukali wa nuru jinsi ingeonekana kwa mtazamji aliyeko katika umbali sanifu. Umbali huu wulisanifishwaulisanifishwa kuwa miaka ya nuru 32.6<ref name=Laet29>Rony De Laet, ''The Casual Sky Observer's Guide: Stargazing with Binoculars and Small Telescopes'' (New York: Springer, 2012), p. 29</ref><ref> au [[parsec]] 10</ref> Kipimo hiki kinawaruhusu wanaastronomia kulinganisha uang‘avu wa magimba kwa kutumia umbali sanifu.
 
==Kipimo cha magnitudo==