Petrus Plancius : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Petrusplancius.gif|thumb|200px|Petrus Plancius. J. Buys/Rein. Vinkeles (1791).]]
'''Petrus Plancius''' (1552 – 15 Mei 1622) alikuwa mwanatheologia, [[mchungaji]] wa Kanisa la Kireformed, mwanaastronomia na mchoraji wa ramani kutoka [[Flandria]] aliyeishi miaka mingi huko [[Uholanzi]].
 
Tangu mwaka 1589 alianza kuchora ramani za nyota ambako aliingiza mara ya kwanza kundinyota nyingi za nusutufe ya kusini zilizoanza kujulikana Ulaya baada ya mabaharia wa Ulaya kuzunguka dunia yote. Hapo alichora mara ya kwanza Salibi, Pembetatu ya Kusini na Mawingu ya Magellan.
 
1595 Plancius alimwomba nahodha Mholanzi Pieter Dirkszoon Keyser kukusanya vipimo vya nyota za kusini zisizopimwa bado akazipanga kwa kundinyota mpya 12 na hizi zilikuwa [[Nzi (kundinyota)|Nzi]] (Musca), [[Ndege wa Peponi (kundinyota)|Ndege wa Peponi]] (Apus), [[Kinyonga (kundinyota)|Kinyonga]] (Chamaeleon), [[Panji (kundinyota)|Panji]] (Dorado), [[Kuruki (kundinyota)|Kuruki]] (Grus), [[Nyoka Maji (kundinyota)|Nyoka Maji]] (Hydrus), [[Mhindi (kundinyota)|Mhindi]] (Indus), [[Tausi (kundinyota|Tausi]] (Pavo), [[Zoraki (kundinyota)|Zoraki]] (Phoenix), [[Pembetatu ya Kusini (kundinyota)|Pembetatu ya Kusini]] (Triangulum Australe), [[Tukani (kundinyota)|Tukani]] (Tucana) na [[Panzimaji (kundinyota)|Panzimaji]] (Volans) akaziweka yote katika [[globus]] yake ya nyota. Kundinyota zake zilipokelewa vile baadaye na [[Johann Bayer]] katika orodha yake.
 
Kundinyota zake zilipokelewa vile baadaye na [[Johann Bayer]] katika orodha yake na kutumiwa hadi leo katika orodha ya [[Umoja wa Kimataifa ya Astronomia]].
 
===Ramani===