Pweza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Sahihisho
Mstari 31:
'''Pweza''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[bahari]] wenye [[mnyiri|minyiri]] ([[mkono|mikono]]) minane inayobeba [[kikombe|vikombe]] vya kumung'unyia na inayotumika kwa kukamata wanyama wadogo. Wana [[mdomo|domo]] linalofanana na lile la [[kasuku]] ili kuseta [[gegereka]] na [[kome]]. [[Spishi]] nyingi huingiza [[sumu]] inayopooza mawino.
 
Pweza hunaogelea kwa kuondoa [[maji]] kwa nguvu kupitia mrija ([[w:Siphon (mollusc)|siphon]]) wake. Wanaweza kubadilisha rangi yao na pengine umbo wao ili kufanana na kinyume na kujificha kwa mawindo na maadui. Wakivumbuliwa huruka wakitoa ghubari la [[kiwi (ute)|kiwi]] (maada kama [[wino]]) ili kukanganya adui.
 
Pweza wanaweza kushambulia [[mtu|watu]] lakini hii ni adimu. Wakichochewa wanauma kwa domo lao na wanatoa [[sumu]], lakini spishi moja tu, [[pweza mizingo-buluu]], ana sumu inayoweza kuua watu