Ngisi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Sahihisho
 
Mstari 19:
Minyiri hutumika kwa kukamata wanyama wadogo na mikono hutumika kwa kushika mawindo wakati mnyama akiyakula. Ngisi wana [[mdomo|domo]] linalofanana na lile la [[kasuku]] ili kupapua nyama kutoka mawindo.
 
Ngisi huogelea kwa kuondoa [[maji]] kwa nguvu kupitia mrija ([[w:Siphon (mollusc)|siphon]]) wao. Wanaweza kubadilisha rangi yao na kufanana na kinyume ili kujificha kwa mawindo na maadui. Wakivumbuliwa na adui huruka wakitoa ghubari la [[kiwi (ute)|kiwi]] (maada kama [[wino]]) ili kumkanganya.
 
Ukubwa wa takriban spishi zote ni chini ya [[sm]] 60 lakini [[ngisi mkubwa]] inaweza kufika [[m]] 13 na [[ngisi dubwana]] inafika hata m 14. Ngisi dubwana mkubwa kuliko wote waliokamatwa alivuliwa mwaka 2007 karibu na [[Antakitiki]]. Uzito wake ulikuwa [[kg]] 495 na urefu wake m 10.