Bamvua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Bodil xaver hamburg 2013 0001.jpg|thumbnail|Bamvua pamoja na upepo mkali katika mdomo wa mto inaweza kusababisha mafuriko kama hapa Hamburg, Ujerumani tarehe 13 Januari 2013]]
[[Picha:Bamvua.png|300px|thumbnail|Wakati wa Mwezi mwandamu na Mwezi mpevu jua, mwezi na dunia ziko kwenye mstari mmoja na hapo nguvu za graviti zinaungana na kusababisha bamvua duniani.]]
'''Bamvua''' ''([[ing.]] [[:en:springtideTide#Range_variation:_springs_and_neaps|sprngtidespring tide]])'' inahusu [[maji kujaa na kupwa|kujaa na kupwa kwa maji ya bahari]], hasa kujaa kukubwa. Mara nyingi neno hili hutumika na watu wa pwani na wavuvi. Kwa kawaida bamvua hutokea mara mbili kwa mwezi.
 
Bamvua inasababishwa na graviti ya jua na mwezi wakati dunia yetu, mwezi na jua ziko kwenye mstari nyoofu. Hii inaonekana kutokana na hali ya mwezi kuwa ama [[mwezi mwandamu]] au [[mwezi mpevu]] na karibu na siku hizi bamvua inatokea.