Tofauti kati ya marekesbisho "Mtemi Mirambo"

1,164 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
(Mtawala wa jamii ya wanyamwezi)
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
'''Mtemi Mirambo''' alikuwa [[mfalme]] wa [[Wanyamwezi]] katika [[magharibi]] ya [[Tanzania]] ya leo.
Historia ya mtemi mirambo
 
Mirambo aliwahi kutajirika kama [[mfanyabiashara]] kwa njia ya [[Biashara ya misafara|misafara]] kati ya [[pwani]] ya [[Bahari Hindi]] na [[Kongo]].
 
Alitumia sehemu kubwa ya [[utajiri]] wake kujenga [[jeshi]] la binafsi. Kwa kusudi hilo alinunua [[bunduki]] aina ya [[gobori]] na kukusanya [[vijana]] wengi walioitwa "rugaruga". Rugaruga hao walihofiwa kote. Inasemekana ya kwamba kabla ya mapigano walipewa [[pombe]] na [[bangi]] kwa kusudi la kuongeza ukatili na kupunguza [[hofu]] yao ya kifo.
 
Kwa kawaida vijana hao walikuwa [[wanaume]] walioishi bila [[ukoo]] na bila [[familia]] kisha kutoroka kwenye hali ya [[utumwa]] au kuwa [[wapagazi]] wa misafara.<ref>John Iliffe: ''A Modern History of Tanganyika''. Cambridge University Press, Cambridge 1979, uk. 64</ref> Mirambo aliwapokea na kuwapa silaha na kwa njia hii alishinda maadui na aliweza kupanua eneo lake hadi kuwa mtemi mkuu wa Wanyamwezi kuanzia mwaka [[1860]] hadi [[kifo]] chake mnamo [[1884]].
 
==Tanbihi==
{{marejeo}}
{{mbegu-mtu}}
 
[[Jamii:Waliofariki 1884]]
[[Jamii:Wanyamwezi]]
[[Jamii:Historia ya Tanganyika]]