Mtemi Mirambo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[image:Mirambo.jpg|thumb|[[Mchoro]] kutoka [[kitabu]] cha James William Buels kuhusu "Mashujaa wa Afrika" ([http://1890 1890])]]
'''Mtemi Mirambo''' ([[1840]]-[[1884]]) alikuwa [[mfalme]] wa [[Wanyamwezi]] katika [[magharibi]] ya [[Tanzania]] ya leo.
 
[[Jina]] lake la awali lilikuwa "Mtyela Kasanda", lakini ni maarufu zaidi kama'''Mirambo''' (yaani "maiti nyingi").
Mirambo aliwahi kutajirika kama [[mfanyabiashara]] kwa njia ya [[Biashara ya misafara|misafara]] kati ya [[pwani]] ya [[Bahari Hindi]] na [[Kongo]].
 
Mirambo aliwahi kutajirika kama [[mfanyabiashara]] ya [[pembe za ndovu]] na [[watumwa]] kwa njia ya [[Biashara ya misafara|misafara]] kati ya [[pwani]] ya [[Bahari Hindi]] na [[Kongo]].
 
Alitumia sehemu kubwa ya [[utajiri]] wake kujenga [[jeshi]] la binafsi. Kwa kusudi hilo alinunua [[bunduki]] aina ya [[gobori]] na kukusanya [[vijana]] wengi walioitwa "rugaruga". Rugaruga hao walihofiwa kote. Inasemekana ya kwamba kabla ya mapigano walipewa [[pombe]] na [[bangi]] kwa kusudi la kuongeza ukatili na kupunguza [[hofu]] yao ya kifo.
 
Kwa kawaida vijana hao walikuwa [[wanaume]] walioishi bila [[ukoo]] na bila [[familia]] kisha kutoroka kwenye hali ya [[utumwa]] au kuwa [[wapagazi]] wa misafara.<ref>John Iliffe: ''A Modern History of Tanganyika''. Cambridge University Press, Cambridge 1979, uk. 64</ref><ref>The Cambridge History of Africa, vol. 6</ref> Mirambo aliwapokea na kuwapa silaha na kwa njia hii alishinda maadui na aliweza kupanua eneo lake hadi kuwa mtemi mkuu wa Wanyamwezi<ref>The Nyamwezi aristocracy was appalled when someone who was not royalty took over the religiously ceremonial office of ntemi.</ref><ref name="ReferenceA">The Cambridge History of Africa, vol. 5</ref> kuanzia mwaka [[1860]] hadi [[kifo]] chake mnamo [[1884]]<ref>It is possible that he was strangled to death, since an old Nyamwezi custom was to strangle their mtemi when they became unfit to rule.</ref>.
 
Alisifiwa na [[Henry Morton Stanley]] kama "[[Napoleon Bonaparte]] Mwafrika" kutokana na [[ushujaa]] wake dhidi ya [[Waarabu]] waliomuunga mkono Stanley mwenyewe. Hata hivyo hakufaulu kuteka [[Tabora]] kutoka mikononi mwao.
 
==Tanbihi==
{{marejeo}}
 
==Viungo vya nje==
*Burnett, Lucy, [http://www.blackpast.org/?q=gah/mirambo-ca-1840-1884 Mirambo (ca.1840--1884)] at [[blackpast.org]]
 
{{mbegu-mtu}}