Horatius : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 95.247.189.25 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Addbot
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Horasi.jpg|thumb|250px|[[Sanamu]] ya Horasi mjini [[Verona]], [[Italia]].]]
'''Quintus Horatius Flaccus''' (pia: '''Horasi'''; [[8 Desemba]] [[65 KK]] - [[27 Novemba]] [[8 KK]]) alikuwa [[mshairi]] mashuhuri wa [[Roma ya Kale]].
 
Alizaliwa kama [[mtoto]] wa [[mtumwa]] aliyepewa [[uhuru]] na bwana wake na kutajirika baadaye. Hivyo aliweza kumpa mwanawe [[elimu]] nzuri. AlisomaAlisomea [[Roma]] na baadaye [[Ugiriki]].
 
Aliandika mengi kwa [[lugha]] ya [[Kilatini]] akasifiwa wakati wake na katika [[karne]] zilizofuata.
 
Kati ya maneno yake yaliyorudiwa mara kwa mara ni:
 
* ''Sapere aude!'' - "Thubutu kujua" (yaani: Ujiamini kutumia akili !)
* ''Dulce et decorum est pro patria mori'' - "Ni tamu, tena inafaa, kufa kwa nchi yako."
* ''Carpe diem'' - "Shika siku" (yaani: usipotezeUsipoteze nafasifursa za siku yakufurahia leo!)
 
== Viungo vya Njenje ==
{{Commons|Quintus Horatius Flaccus‎}}
* [http://quintus.horatius.free.fr/ Espace Horace]
Mstari 22:
* [http://www.intratext.com/Catalogo/Autori/Aut186.HTM Horace's works]: text, concordances and frequency list
 
[[Jamii:Waliozaliwa 65 KK]]
[[Jamii:Waliofariki 8 KK]]
[[Jamii:Waandishi wa Roma ya Kale]]