Nuru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Cloud in the sunlight.jpg|300px|thumbnail|Nuru ya jua linaangaza wingu angani]]
'''Nuru''' (kutoka [[Kiarabu]] نور, ''nur''; pia '''mwanga''') ni [[neno]] la kutaja [[mnururisho]] unaoweza kutambuliwa kwa [[macho]] yetu. Kwa [[lugha]] ya [[fizikia]] ni sehemu ya [[mawimbi ya sumakuumeme]] yanayoweza kutambuliwa na [[jicho]].
 
Ma[[wimbi]] ya nuru huwa na masafa ya [[nanomita]] 380 hadi 780 au yenye marudio ya takriban [[terahezi]] 789 hadi 384.