Ushairi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:GilgameshTablet.jpg|
'''Ushairi''' ni [[utungo]] wa [[sanaa|kisanaa]] ulio na madhumuni ya kutumbuiza au kuelimisha. Tena, ushairi ni [[tawi]] mojawapo la [[fasihi andishi]]. Kinyume chake ni [[nathari]].
Mstari 6:
Ushairi una [[historia]] ndefu. Kwa mfano, [[mwanafalsafa]] [[Aristotle]] katika [[kitabu]] chake ''Ushairi'' ("Poetics" kwa [[Kiingereza]]) anachunguza matumizi yake katika [[hotuba]], tamthiliya, nyimbo na [[futuhi]].
Ushairi una vipera vitano ambavyo ni:
1. nyimbo
2. ngonjera
3. shairi
4. maghani na
5. tenzi.
== Marejeo ==
|