Dodoma (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tengua pitio 1008230 lililoandikwa na 197.250.224.226 (Majadiliano)
Mstari 17:
}}
 
'''[[Dodoma]]''' ni [[mji]] wa Tanzania ya kati. Imetangazwa kuwa [[mji mkuu]] wa [[Tanzania]] mwaka 1973. Hali halisi makao ya kikazi ya serikali ya Tanzania yako [[Dar Es Salaam1973]], pia ikulu halisi ya rais. Lakinilakini [[bungeserikali]] hukutanailihamia Dodomakweli na sehemu za ofisi zamwaka [[wizara2016]] kadhaa zimepelekwa Dodoma. Mji ni pia makao makuu ya [[Mkoa wa Dodoma]] na eneo lake inahesabiwa kama '''Wilaya ya Dodoma'''tu.
 
Mji ni pia [[makao makuu]] ya [[Mkoa wa Dodoma]] na eneo lake linahesabiwa kama '''Wilaya ya Dodoma'''.
Eneo la mji liko 1135 [[m]] juu ya [[UB]]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2012]], mji wa Dodoma ilikuwa na wakazi wapatao 410,956 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Dodoma - Dodoma MC]</ref> waishio humo.
 
Eneo la mji liko 1135 [[mmita]] 1135 juu ya [[UB]]. Wakati wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa [[2012]], mji wa Dodoma ilikuwaulikuwa na wakazi wapatao 410,956 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Dodoma - Dodoma MC]</ref> waishio humo.
==Uchumi==
Kiuchumi ni kitovu cha biashara ya kilimo cha [[karanga]], [[maharagwe]], [[alizeti]] na [[mizabibu]], pamoja na [[mifugo]] na [[kuku]].
 
== Asili ya jina ==
Dodoma kuna makao makuu ya [[Kanisa la Biblia Publishers]] pamoja na [[Emmaus Shule ya Biblia]]. Nice day people
Neno "Dodoma" linasemekana kumetokana na [[neno]] la [[kigogoKigogo]] "dodomia" kufuatilikufuatilia historia kwamba zamani kuna [[tembo]] alikuja pale mjini akakita [[wayo|nyayo]] zake ardhini akiacha alama ya nyayo zake zimedidimia.
 
== Historia ==
Dodoma ilianzishwa wakati wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] kama kituo kwenye reli ya kati penye [[karahana]] ya reli. Tangu mwaka [[1912]] imekuwa makao makuu ya mkoa. 1913 Dodoma ilikuwa na posta, simu, hoteli na maduka 26 (moja ya mzungu, mengine ya Wahindi na Waarabu). Kikosi cha polisi kilikuwa na askari 59.
 
Mwaka [[1913]] Dodoma ilikuwa na [[posta]], [[simu]], [[hoteli]] na [[duka|maduka]] 26 (moja ya [[Mzungu]], mengine ya [[Wahindi]] na [[Waarabu]]). Kikosi cha [[polisi]] kilikuwa na [[askari]] 59.
 
Dodoma imeendelea kuwa mji mdogo mpaka kutangazwa kuwa mji mkuu. Azimio hili lilileta [[ujenzi]] wa maofisi kadhaa ya [[serikali]].
 
Dodoma imeendelea kuwa mji mdogo mpaka kutangazwa kuwa mji mkuu. Azimio hili lilileta ujenzi na maofisi kadhaa ya serikali. Kwa ujumla uhamisho unaendelea kuchelewaulichelewa kwa sababu mbalimbali; sababu muhimu ni ya kwamba watumishi wa serikali na [[wanasiasa]] walio wengi hawapendihawakupenda kuondoka katika [[jiji]] halisi na kuhamia mji mdogo ambao ni mbali sana na [[mazingira]] waliyoyazoea. Menginevyo kunaPia matatizo ya [[fedha|kifedha]] ambayo yamesaidia haidi sasayalisaidia kutangaza nia ya kuhamikuhamia lakini kubaki palepale.
 
Hali halisi [[bunge]] lilikuwa linakutana Dodoma lakini makao ya kikazi ya serikali ya Tanzania yalibaki [[Dar Es Salaam]] pamoja na [[ikulu]] ya [[rais]] hadi mwaka [[2016]]. Ndipo kwa amri ya rais mpya, [[John Magufuli]], sehemu kubwa ya ofisi za [[wizara]] zimepelekwa Dodoma.
 
==Uchumi==
[[Uchumi|Kiuchumi]] ni [[kitovu]] cha kilimo na [[biashara]] ya kilimo cha [[karanga]], [[maharagwe]], [[alizeti]] na [[mizabibu]], pamoja na [[mifugo]] na [[kuku]].
 
==Elimu==
[[Elimu]] inahitaji kuboreshwa, hasa maeneo ya [[Kijiji|vijijini]], maana ndio mji mkuu: hivyo kunahitajika kuboreshwe zaidi.
 
== Mawasiliano ==
[[Mawasiliano]] ni mazuri kwa [[barabara]] ya [[lami]] kuanzia mji wa Dodoma kwenda [[Morogoro (mji)|Morogoro]] - [[Dar Es Salaam]] au Morogoro - [[Iringa (mji)|Iringa]], barabara zingine ni za udongo to pamoja na njia kuu kuelekea Tanzania ya Magharibi - [[Rwanda]] - [[Kongo]]. Pia hali yana barabara ya kale ya "[[Cape Town]] - [[Cairo]]" inayovukainayopitia Dodoma kutoka kaskazini ([[Arusha (mji)|Arusha]] - [[Kondoa]]) kwenda kusini si nzuri tena. Kuna pia njia ya ([[reliIringa ya kati(mji)|Iringa]]). kutokaBarabara Darnyingine Esni Salaam kwendaza [[Kigomaudongo]] yenye matatizo ya mara kwa maratu. Dodoma ina uwanja wa ndege wa kitaifa .
 
Kuna pia njia ya [[reli ya kati]] kutoka Dar es Salaam kwenda [[Kigoma]] yenye matatizo ya mara kwa mara.
== Asili ya jina ==
Neno "Dodoma" linasemekana kumetokana na neno la [[kigogo]] "dodomia" kufuatili historia kwamba zamani kuna tembo alikuja pale mjini akakita nyayo zake ardhini akiacha alama ya nyayo zake zimedidimia.
 
Dodoma ina [[uwanja wa ndege]] wa kitaifa na [[vyuo vikuu]], kikiwemo kile kikubwa zaidi [[Afrika Mashariki]].
== Historia ==
Dodoma ilianzishwa wakati wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] kama kituo kwenye reli ya kati penye karahana ya reli. Tangu 1912 imekuwa makao makuu ya mkoa. 1913 Dodoma ilikuwa na posta, simu, hoteli na maduka 26 (moja ya mzungu, mengine ya Wahindi na Waarabu). Kikosi cha polisi kilikuwa na askari 59.
 
Dodoma kuna makao makuu ya [[Kanisa la Biblia Publishers]] pamoja na [[Emmaus Shule ya Biblia]]. Nice day people
Dodoma imeendelea kuwa mji mdogo mpaka kutangazwa kuwa mji mkuu. Azimio hili lilileta ujenzi na maofisi kadhaa ya serikali. Kwa ujumla uhamisho unaendelea kuchelewa kwa sababu mbalimbali; sababu muhimu ni ya kwamba watumishi wa serikali na wanasiasa walio wengi hawapendi kuondoka katika jiji halisi na kuhamia mji mdogo ambao ni mbali sana na mazingira waliyoyazoea. Menginevyo kuna matatizo ya kifedha ambayo yamesaidia haidi sasa kutangaza nia ya kuhami lakini kubaki palepale.
 
==Picha==
<gallery class="float-right" perrow=3 widths=250px>
File:Klb_dodoma.jpg|Kanisa la Biblia
File:000 1333 Dodoma Cathedral.JPG|Kanisa Kuu la Anglikana, Dodoma Mjini
File:Gaddafi Mosque.jpg|Msikiti wa [[Gaddafi]]
File:Nyerere Square in Dodoma.jpg|Uwanja wa [[Nyerere]]
File:University of Dodoma.jpg|[[Chuo Kikuu cha Dodoma]]
File:000 1333 Dodoma Cathedral.JPG|[[Kanisa Kuu]] la [[Anglikana, Dodoma Mjini]]
File:Gaddafi Mosque.jpg|[[Msikiti]] wa [[Gaddafi]]
File:Klb_dodoma.jpg|Kanisa la [[Biblia]]
</gallery>