Sindano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sindano''' inaeweza kutafsriwa kama ifuatavyo: Ni kifaa maalumu chenye ncha kali na tundu la kupenyezea uzi ambacho hutumika kwa kushonea....'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:13, 11 Agosti 2017

Sindano inaeweza kutafsriwa kama ifuatavyo:

Ni kifaa maalumu chenye ncha kali na tundu la kupenyezea uzi ambacho hutumika kwa kushonea.

Ni kifaa maalumu kina chotumika kupenyezea dawa katika mwili wa mtu au mnyama.

Ni aina ya mchele mwembamba.

Ni aina mojawapo ya embe dogo na jembamba.