Elektrolaiti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Elektrolaiti''' ni kemikali ambayo husafirisha mkondo wa umeme.Hutumika kwenye mabetri kufanya ioni zitiririke , hivyo huzalisha mkondo...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Elektrolaiti''' ni [[kemikali]] ambayo husafirisha [[mkondo wa umeme]]. Hutumika kwenye ma[[betri]] kufanya [[ioni]] zitiririke , na hivyo huzalisha mkondo wa umeme . Elektrolaiti huwa ioni kama ikiyeyushwa kwenye [[maji]]. Aghalabu vitu vinavyoyeyuka , kama [[chumvi]], [[asidi]] , na [[nyongo]] ni elektrolaiti
 
Elektrolaiti inayotumiwa katika "seli za kielektrolaiti" hubeba ioni kati ya [[elektrodi]] za [[seli]]. [[Elementi]] za kielekrolaiti zinaweza kutumiwa kuondokana na mambo yaliyojitokeza na [[kampaundi]] zilizomo katika mchanganyiko.
 
Mkusanyiko sahihi wa electrolaiti ni muhimu kwa [[fiziolojia]].
 
{{mbegu-kemia}}
 
[[Jamii:Umeme]]