Upanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 91 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q12791 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
{{maana nyingine|Upanga Magharibi|Upanga Mashariki}}
[[image:OakeshottXIX-XXII.gif|thumb|right|Aina za panga]]
[[Image:Dresden-Zwinger-Armoury-bi-handed-sword.JPG|thumb|right|Upanga wa mikono miwili kwenye [[makumbusho]] ya [[Dresden]].]]
'''Upanga''' ni [[silaha]] inayoshikwa [[Mkono|mkononi]] kwa ajili ya [[kukata]]. Hutengenezwa kwa [[metali]], hasa [[feleji]], ikifanana na [[kisu]] ila tu ni kubwa. Hasa [[kengee]] yake ni ndefu na [[mpini]] wake ni mkubwa kwa sababu mkono wote unahitaji kushika silaha hii.
 
Mara nyingi kuna [[chuma]] cha kupandana kinachokusidiwakinachokusudiwa kukinga mkono unaoshika upandaupanga. [[Umbo]] la upanga ni muhimu kwa mbinu za mapigano.
'''Upanga''' ni [[silaha]] inayoshikwa mkononi. Hutengenezwa kwa [[metali]] hasa [[feleji]] ikifanana na [[kisu]] ila tu ni kubwa. Hasa [[kengee]] yake ni ndefu na mpini wake ni mkubwa kwa sababu mkono wote unahitaji kushika silaha hii.
 
Kuna aina nyingi za upanga zinazotofautiana hasa katika [[urefu]] na pia [[uzito]].
Mara nyingi kuna chuma cha kupandana kinachokusidiwa kukinga mkono unaoshika upanda. Umbo la upanga ni muhimu kwa mbinu za mapigano.
 
Panga hutengezwa kutokana na [[malighafi]] ya [[shaba]] na [[chuma]]. Panga za kwanza zilitengenezwa na [[wahunzi]] (wafua chuma) wa [[Misri]] na [[China]] wakitumia [[bronzi]]. Tangu kupatikana kwa [[bunduki]] umuhimu wa upanga umepungua. Katika [[vita]] yavya [[silaha za kisasa]] panga zimepotea kabisa. Lakini katika [[vita zavya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda]] au [[ghasia]] ya [[Kenya]] ya mwaka [[2008]] panga zilikuwa silaha muhimu tena.
Kuna aina nyingi za upanga zinazotofautiana hasa katika urefu na pia uzito.
 
Panga za kwanza zilitengenezwa na wahunzi wa [[Misri]] na [[China]] wakitumia [[bronzi]]. Tangu kupatikana kwa [[bunduki]] umuhimu wa upanga umepungua. Katika vita ya silaha za kisasa panga zimepotea kabisa. Lakini katika vita za wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda au ghasia ya Kenya ya 2008 panga zilikuwa silaha muhimu tena.
 
==Viungo vya nje==
{{commonscat|Swords}}
 
{{mbegu-sayansiutamaduni}}
 
[[Jamii:Silaha]]
[[Jamii:Teknolojia]]