Mparachichi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Masahihisho
 
Mstari 13:
| spishi= ''[[Persea americana|P. americana]]'' <small>[[Philip Miller|Mill.]]</small>
}}
'''Mparachichi''' au '''mwembe-mafuta''' ([[ingKiing.]] [[:en:avocado|avocado]]'', [[lat.Kilatini]] ''Persea americana'') au '''mwembe mafuta''' ni [[mti]] wenye [[jani|majani]] na [[tunda|matunda]] makubwa ambao hupandwa mahali pote pa [[tropiki]] na [[nusutropiki]]. Huitwa '''mpea''' pia lakini afadhali jina hili litumiwe kwa miti ya [[jenasi]] ''[[Pyrus]]''. Matunda yake ([[parachichi|maparachichi]] au [[embe mafuta|maembe mafuta]]) yana mafuta mengi.
 
==Picha==