Wasafwa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Wasafwa''' ni [[kabila]] la [[watu]] kutoka eneo la [[milima]] ya [[mkoa wa Mbeya]], [[kusini]] mwa nchi ya [[Tanzania]].
Rangi Yao kuu ya mavazi ni njano!▼
Wako hasa katika [[wilaya]] za [[Mbeya mjini]], [[Mbeya vijijini]], [[Mbozi]] na [[Chunya (wilaya)|Chunya]]
Mwaka [[1987]] [[idadi]] ya Wasafwa ilikadiriwa kuwa 158,000 [http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=sbk].
[[Lugha]] yao ni [[Kisafwa]].
==Uongozi wa kimila==
[[Kiongozi]] wa Wasafwa huitwa ''mwene'' kwa lugha yao.
Kiongozi wa Wasafwa huitwa ''mwene'' kwa kilugha. Mwene maarufu sana alikuwa Mwene Paul [[Mwashinga]] aliyekuwa tajiri na msomi; makao makuu yake yalikuwa [[Igawilo]], [[Mbeya mjini]]; naye aliaga dunia mwaka 1987; msiba wake ulihudhuriwa na watu mashuhuri sana. Mwene mwingine ni Mwene Mwalyego wa [[Mbalizi Road|Mbalizi]].▼
▲
{{mbegu-utamaduni-TZ}}▼
Mwene mwingine ni Mwene Mwalyego wa [[Mbalizi Road|Mbalizi]].
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{DEFAULTSORT:Safwa}}
{{Makabila ya Tanzania}}
▲{{mbegu-utamaduni-TZ}}
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
[[Jamii:Mkoa wa Mbeya]]
|