Tofauti kati ya marekesbisho "Mstari mnyoofu"

1 byte added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
d (All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|pl}} using AWB (10903))
No edit summary
 
[[Picha:Linear functions2.PNG|thumb|300px|Mistari minyoofu katika [[mfumo majira]]]]
'''Mstari mnyoofu''' (pia: '''Mstari ulionyooka''') ni hojafikra laya kijiometria. Katika tambarare mstari mnyoofu ni njia fupi kati ya nukta mbili inayoendelea kila upande bila badiliko la mwelekeo. Hauna mwisho au mwanzo wala upana au unene.
 
Kwa lugha nyingine ni jumla ya nukta zote zilizopo kwenye njia hiyo.