Maria kupalizwa mbinguni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tizian 041.jpg|200px|thumb|right|[[Mchoro]] wa [[Tiziano]], katika [[Basilika]] la Santa Maria Gloriosa dei Frari, [[Venezia]], [[Italia]]. Labda mchoro huo wa mwaka [[1516]]-[[1518]] ni maarufu kuliko yote ya [[Kanisa la Magharibi]] kuhusu [[fumbo]] hilo.]]
[[File:Dormition de la Vierge.JPG|thumb|right|200px|[[Kulala kwa Bikira Maria]] katika [[ubao]] wa [[pembe laza ndovu]]: kazi ya [[karne ya 10]] au mwanzo wa [[karne ya 11]] ([[Musée de Cluny]], [[Ufaransa]]).]]
{{Kanisa Katoliki}}
'''Maria kupalizwa mbinguni''' ni [[sherehe]] ya [[Kanisa Katoliki]] inayoadhimishwa kila [[mwaka]] [[tarehe]] [[15 Agosti]]. Kadiri ya [[sheria za Kanisa]], kimataifa ni [[sikukuu ya amri]], ingawa katika nchi nyingine si hivyo, kutokana na [[serikali]] kutokubali tarehe hiyo kama [[siku ya pumziko]].
 
==Msingi katika imani==
Adhimisho hilo la [[liturujia]] ni la zamani, lakini limepata nguvu mpya kutokana na [[dogma]] iliyotangazwa na [[Papa Pius XII]] kwa hati ''[[Munificentissimus Deus]]'' ya tarehe [[1 Novemba]] [[1950]] baada ya kusikiliza maoni ya ma[[askofu]] wote [[duniani]].
 
Fundisho hilo la [[imani]] [[Katoliki]] ni kwamba [[Bikira Maria]], [[mama]] wa [[Yesu]], alipomaliza [[maisha]] yake duniani alichukuliwa [[mwili]] na [[roho]] [[mbinguni]], ashiriki mapema [[utukufu]] wa [[Ufufuko wa Yesu|Mwanae mfufuka]], [[Yesu Kristo]] kama alivyoshirikiana naye toka mwanzo hatahadi mwisho wa maisha yake.
 
Fundisho hilo linalingana na lile la [[Waorthodoksi]], ingawa hao hawajalitangaza kuwa dogma. Tarehe hiyohiyohiyo wao wanaadhimisha ya [[Kulala kwa Bikira Maria]].
 
Hata baadhi ya [[Waanglikana]] na [[Walutheri]] wana adhimisho la Bikira Maria siku hiyo.
 
Umoja wa msimamo huo [[Ukristo wa Mashariki|upande wa mashariki]] na [[Ukristo wa Magharibi|wa magharibi]] wa [[Kanisa]] unatokana na [[mapokeo]] ya [[karne]] za kwanza za [[Ukristo]], yanayoshuhudiwa na [[mababu wa Kanisa]] kama vile [[Efrem wa Syria]], [[Timoteo wa Yerusalemu]], [[Epifanio wa Salamina]] na [[Yohane wa Damasko]].
 
==Marejeo==
{{Commons category|Assumption of Mary}}
* Duggan, Paul E. (1989). ''The Assumption Dogma: Some Reactions and Ecumenical Implications in the Thought of English-speaking Theologians''. Emerson Press, Cleveland, Ohio
* Shoemaker, Stephen J. (2002, 2006). [http://www.oup.com/uk/catalogue/?ci=9780199210749 ''Ancient Traditions of the Virgin Mary's Dormition and Assumption'']. Oxford University Press, Oxford. ISBN 0-19-925075-8 (Hardcover 2004, Reprint), ISBN 0-19-921074-8 (Paperback 2006)
 
== Viungo vya nje ==
{{Commons category|Assumption of Mary}}
* [http://www.vatican.va/holy_father/pius_xii/apost_constitutions/documents/hf_p-xii_apc_19501101_munificentissimus-deus_en.html Hati ''Munificentissimus Deus'']
* [http://www.uoregon.edu/~sshoemak/texts/dormindex.htm Mapokeo ya zamani kuhusu Maria kulala na kupalizwa]