Kamba (gegereka) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 28:
Mwili wa kamba una sehemu mbili: [[kefalotoraksi]] ([[kichwa]] na [[kidari]] vilivyoungana) na [[fumbatio]]. Kwa hivyo kamba wana miguu kumi, jozi tano za viungo vya kefalotoraksi, vinavyoitwa [[pereiopodi]] pia. Lakini kila pingili ya mwili inaweza kuwa na jozi ya viungo, ijapokuwa vingine vimepotea katika spishi nyingi. Vile vya kichwa ni [[kipapasio|vipapasio]] vidogo na vikubwa, [[mandibuli]] na [[maxilla]] za kwanza na za pili. Jozi ya kwanza ya miguu inabeba [[gando|magando]], pengine madogo pengine makubwa. Kidari kinabeba jozi tatu za viungo mbele ya miguu ambavyo vinaitwa maxillipedi. Viungo hivi vinasaidia kwa kula.
 
Fumbatio inabeba idadi mbalimbali za viungo vinavyoitwa [[pleopodi]] na ambovyo vinatumika kwa kuogelea na kuatamia [[yai|mayai]]. Kwa spishi nyingine jozi ya kwanza, na pengine jozi ya pili pia, ya madume imetoholeka ili kumwekea jike [[manii]]. Viungo vya pingili ya mwisho huitwa [[uropodi]] na mwishoni kwa fumbatio kuna [[telsoni]]. Uropodi na telsoni pamoja zinaumbozinaumba [[kipepeo cha mkia]] kinachotumika kwa kutimuka kikikunjwa kwa kasi.
 
==Spishi za Afrika Mashariki zilizochaguliwa==